Habari za Global News Beat 1500 16/2/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global News Beat 1500 16/2/2018

Je unaweza kufanya kazi bila malipo iwapo hungekuwa na ajira? Stewart Macdonald anasema kwamba wapo waajiri wanaotumia wafanyikazi wao vibaya kwa kutowalipa kwa sababu wanawaahidi maarifa. Tupe maoni yako kuhusu swala hili kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili.

Mada zinazohusiana