Habari za Global Newsbeat 1000 19/02/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 19/02/2018

Wabunge nchini Uingereza wanaomba mtoto mwenye umri wa miaka sita kupatiwa leseni ya kutumia bangi kama tiba ya kukabiliana na ugonjwa wa aina mpya wa kifafa.

Bangi inastahili kutumiwa na wagonjwa?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com