Habari za Global Newsbeat 1500 19/02/2018

Habari za Global Newsbeat 1500 19/02/2018

Mwanamume mmoja aliyeamua kutumia jina la mke wake kama jina lake rasmi amekumbana na changamoto nyingi tangu uamuzi huo.

Je, ni vibaya kwa mwanamume kutumia jina la mke wake kama jina lake rasmi?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com