Habari za Global Newsbeat 1000 20/02/2018

Habari za Global Newsbeat 1000 20/02/2018

Shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia watoto, inasema kuwa mataifa maskini zaidi duniani hayajapiga hatua kubwa, kumaliza vifo miongoni mwa watoto wanaozaliwa. UNICEF inasema kuwa, mataifa yaliyo chini ya jangwa la Sahara, inasalia kuwa hatari kwa watoto kuzaliwa humo.