Habari za Global Newsbeat 1500 20/02/2018
Habari za Global Newsbeat 1500 20/02/2018
Meneja wa Chelsea Antonio Conte amesema amekosa kupata lepe la usingizi kutokana na mechi inayotarajiwa kuchezwa leo kati ya Chelsea dhidi ya Barcelona.
Chelsea itaweza kuishinda Barcelona wakiwa nyumbani?
Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com