Habari za Global Newsbeat 1000 21/02/2018

Habari za Global Newsbeat 1000 21/02/2018

Mahakama ya juu zaidi nchini Brazil, imeamua kuwa, wafungwa wa kike ambao ni waja wazito au walio na watoto wenye umri chini ya miaka 12, wanaweza kusubiri kesi yao wakiwa katika kifungo cha nyumbani.

Je, mahakama hiyo imefanya uamuzi bora kwa wanawake hao?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com