Habari za Global Newsbeat 1500 21/02/2018

Habari za Global Newsbeat 1500 21/02/2018

Baba aliyesafirishwa mtoto wake wa miaka minane kwenda nchini Uhispania kwa sanduku kiharamu kutoka Morocco ameepuka kifungo jela.Wakuu wa mashtaka walitaka mzazi huyo kufugwa jela lakini amekabidhiwa faini ndogo.

Je, mzazi huyo angefungwa jela kwa kumtesa mwanawe?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com