Uwiano wa walimu na wanafunzi unaathiri masomo Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Uwiano wa idadi ya walimu na wanafunzi unaathiri masomo Tanzania?

Kwa mujibu wa takwimu za sasa za Serikali inaonyesha kila mwalimu mmoja anafundisha wanafunzi 45 katika shule za msingi za umma.

Uwiano huu unaathiri vipi ubora wa elimu?

Mada zinazohusiana