Habari za Global Newsbeat 1500 22/02/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 22/02/2018

Kiungo wa kati wa Arsenal Aaron Ramsey na Mesut Ozil watakosa kushiriki mechi dhidi ya Astersunds FK hii leo.

Kukosekana kwa wawili hao kuaathiri uchezaji wa Arsenal?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com

Mada zinazohusiana