Wasiwasi baada ya Ethiopia kujenga bwawa mto Nile

Wasiwasi baada ya Ethiopia kujenga bwawa mto Nile

Mto Nile ni muhimu kwa maisha nchini Ethiopia, Sudan na Misri. Lakini bwawa kubwa nchini Ethiopia linajelengwa. Bwawa hili linaleta wasiwasi mkubwa na kuna hatari kuwa linaweza kugeuza nchi majirani kuwa maadui.