Mwanamume anayeishi na chui na fisi nyumbani kwake

Mwanamume anayeishi na chui na fisi nyumbani kwake

Prakash Amte huwaokoa wanyama mwitu ambao wazazi wao wameuawa na wawindaji nchini India.

Anaishi na wanyama wa aina mbalimbali wakiwemo chuo, fisi, dubu na ndege kwa mfano tausi.

Lakini maafisa wa uhifadhi wa wanyama wanasema anakiuka sheria za uhifadhi wa wanyama pori.