'Utalii wa Kenya umekomaa kuliko wa Tanzania'

Shirikisho la Utalii nchini Kenya KTF limepinga madai kwamba Kenya imekuwa ikipoteza watalii kwa taifa la Tanzania na badala yake likasema kuwa hakuna ushindani wowote kati ya mataifa hayo jirani.