Muziki wawapa matumaini watoto kutoka kitongoji duni, Kenya.

Muziki wawapa matumaini watoto kutoka kitongoji duni, Kenya.

Takriban watoto 1,200 kutoka kitongoji duni kimoja jijini Nairobi, Kenya, wana matumaini ya kufana katika muziki, baada ya kujiunga na kikundi cha kucheza ala tofauti za muziki kwa jina ''Ghetto Classics''.

Mwanahabari wetu Judith Wambare alitembelea kituo wanachofanyia mazoezi katika mtaa wa mabanda wa Korogocho kujionea jinsi muziki ulivyobadilisha maisha yao.