Mabadiliko ya wapenzi wa mtaani yaliyogusa nyoyo za wengi Kenya
Mabadiliko ya wapenzi wa mtaani yaliyogusa nyoyo za wengi Kenya
Je, mapenzi ya maskini ni tofauti na ya matajiri?
Kwa Samuel Githae maarufu kama Blackie na Zipporah Njeri maarufu kama Virginia, wapenzi walioishi barabarani na kupata umaarufu baada ya picha zao za mabadiliko kusambaa mitandaoni, mapenzi ya mtaani ni ya dhati kuliko ya walio na hela.