Habari za Global Newsbeat 1500 26/02/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 26/02/2018

Wanaume wenye umri mkubwa huko Wales wanahimizwa kutoa ubongo wao wanapofariki ili kuwasaidia wanasayansi kufanya utafiti zaidi kuhusu ugonjwa wa kiakili wa Dementia.

Je, wewe unaweza kutoa sehemu yako ya mwili kutumika na wanasayansi kuwasaidia wengine?

Tuwasiliane kwenye Facebook bbcswahili.com