Habari za Global Newsbeat 1000 28/02/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 28/02/2018

Swansea City imefika katika hatua ya robo fainali ya kuwania kombe la FA kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1964, baada ya kuishinda nguvu timu ya Sheffield kwa magoli mawili kwa nunge ugani Liberty Stadium.

Mada zinazohusiana