Mlipuko wa panya waathiri wakulima wa mahindi Tanzania

Mlipuko wa panya waathiri wakulima wa mahindi Tanzania

Mlipuko wa panya katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania bado unaendelea kuwatesa baadhi ya wakulima hasa katika wilaya ya Handeni, Mkoani Tanga.

Hofu ya upungufu wa chakula imetawala miongoni wa wakulima hao, ambao baadhi yao wameshuhudia uharibu mkubwa wa mazao unaoendelea kufanya na panya.

Mwandishi wetu Aboubakar Famau hivi karibuni alikuwa willayani humo na kutuandalia taarifa hii.