Afrika kwa Picha Wiki hii : Februari 24 - Machi 1 2018

Mkusanyiko wa picha bora kutoka Afrika na kuhusu Waafrika wiki hii.

A dancer passes through a security checkpoint at the Jomo Kenyatta International airport on February 26, 2018 in Nairobi, prior to the arrival of the FIFA World Cup Trophy during its World Tou Haki miliki ya picha AFP
Image caption Nchini Kenya, wacheza ngoma hawana budi kuheshimu sheria zote za usalama walipopita katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta International ilikwenda kuikaribisha kombe la dunia la Fifa.
Dancers perform during celebrations marking the Chinese New Year, the Year of the Dog, in First Chinatown, Johannesburg on February 24, 2018 Haki miliki ya picha AFP
Image caption Wachezaji wakiwafurahisha wageni jijini Johannesburg, nchini Afrika Kusini, wakati wa sherehe za kuidhinisha mwaka mpya wa Kichina
Dancers perform the lion dance to bless each store during celebrations marking the Chinese New Year, the Year of the Dog, in First Chinatown, Johannesburg on February 24, 2018 Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mchezo wa kitamaduni wa 'Simba' pia ulikuwepo wakati watu walipokaribisha 'mwaka wa Mbwa'
An Internally Displaced Congolese woman sits on the ground out side a camp for the Internally displaced on February 27, 2018 in Bunia, Haki miliki ya picha AFP
Image caption Katika Jamhuri wa Kidemokrasia ya Congo ambapo watu wanakimbia ghasia mwanamke huyo amekaa na kusubiri
A Fulani woman fixes her head scalf on the street of Dapchi, Yobe state, Nigeria February 27, 2018 Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Nakshi za kuvutia zimemefanya mpiga picha kuchukua picha hii katika mji wa Dapchi Nigeria ambao unahangaika kupokea habari za utekaji wa watoto wao wengi kutekwa
A Christian Ethiopian priest prays next to the closed door of the main entrance of the Church of the Holy Sepulchre in the Old City of Jerusalem on February 26, 2018 after Christian leaders took the rare step of closing the church, seen as the holiest site in Christianity, the previous day at noon Haki miliki ya picha AFP
Image caption Wakati mjini Jerusalem, Israel, raia wa Ethiopia aliyemhubiri wakikristo akiwa katika dua karibu na mlango karibu na kiingilio cha kanisa la Holy Sepulchre.
People look out of a bus window in front of posters of Egypt"s President Abdel Fattah al-Sisi for the upcoming presidential election in Cairo, Egypt February 28, 2018 Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Ukivuka mpaka hadi Misri, nchi hio inajitayarisha kwa uchaguzi kama ilivyooneshwa katika mabango yaliyobandikwa kwenye basi
Annastacia Wainaina, 34, a crew-member in a matatu (a local word for privately owned public transport buses) poses as she waits in line to pick up passengers in Nairobi's central business district on February 26, 2018. Annastacia, who has been a matatu driver since 2005 plying along one of Nairobi's most densely populated routes in Kasarani, is one of only a few women drivers who are shattering an old stereotype that to make it as a matatu-crew, widely regarded as renegades, sexist and reckless, one has to be mal Haki miliki ya picha AFP
Image caption Kwenye basi lingine huko Nairobi, Kenya, Annastacia Wainaina, 34, ni mmoja wapo wa wanawake wachahe wanaofanya kazi kwenye basi aina ya matatu
Ifrah Ahmed (left) with Aja Naomi King who plays her during filming at the Westin Hotel in Dublin of "A Girl from Mogadishu", a true story based on the testimony of Ahmed, who, having escaped war-torn Somalia, has emerged as one of the world"s foremost international activists against Female Genital Mutilation Haki miliki ya picha PA
Image caption Huko Dublin, Ireland, mwanaharakati kutoka Somali Ifrah Ahmed (kushoto) akisimama karibu na muigizaji Aja Naomi King, atakaye muigiza katika filamu mpya kuhusu maisha yake na harakati zake dhidi ya ukeketaji
Ghana team players celebrate with trophy after winning the first West African Football Union (UFOA) zone B women"s tournament final match between Ghana and Ivory Coast at the Parcs des Sports in Abidjan on February 24, 2018 Haki miliki ya picha AFP
Image caption Na mwisho ni tabasamu tele huko Abidjan kwa wanawake wa timu ya soka ya Ghana ambao waliwapiga bao Ivory Coast na kushinda michuano ya kwanza ya soka ya Afrika Magharibi

Picha kwa hisani ya AFP, Reuters, PA na Getty Images

Mada zinazohusiana