Kwa Picha: Tuzo za Oscars mwaka 2018

Wawania tuzo na wageni walifika kwenye zulia jekundu kwenye warsha ya 90 ya tuzo za Oscar.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Lupita Nyong'o, ambaye alishinda tuzo ya Oscar mwaka 2012 kutokana na filmu ya 12 Years a Slave alivaa vazi la kupendeza
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Muwania tuzo Muingereza Daniel Kaluuya pia alikuwa amejiandaa kwa sherehe hiyo
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Allison Williams, nyota wa Get Out, alikuwa kati wa watu kwanza kwenye zulia jekundu
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Tom Holland, maarufu kwa filamu Spider-Man adventures, alifika kupeana tuzo
Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Ashley Judd, ambye ameshiriki katika filamu ya Time's Up movement, alikuwepo
Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mazazi ya Mwanariadha wa kuteleza kwenye barafu wa Olimpiki Adam Rippon yalizua maoni mitandaoni
Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mwania tuzo Allison Janney alikua na vazi jekundu
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Salma Hayek alikuwa na vazi maridadi
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Darrell Britt-Gibson, wa Three Billboards, alionyesha mahanjamu yake
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Laura Dern, nyota wa Jurassic Park na Star Wars, akipiga maposi
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Dame Helen Mirren, ambaye alishinda Oscar mwaka 2007 kwa filamu portrayal of the Queen alikuwepo
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Elisabeth Moss, nyota kipindi cha televisheni The Handmaid's Tale, alionekana mwenye kutabasamu
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Nyota wa X-Men Sir Patrick Stewart
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Muigizaji Muingereza Sally Hawkins, aliyewania tuzo la muigizaji bora wa The Shape of Water, alitabasa mbele ya kamera kabla ya kuelekra kwa sherehe
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Nyota wa Lady Bird na mwania tuzo Saoirse Ronan alivaa vazi la waridi
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Jennifer Lawrence
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Whoopi Goldberg alikuwa na vazi la michoro iliyofanana na tattoo yake
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Meryl Streep alitembea kwenye zulia jekundu kwa uteuzi wake wa 21 kuwania tuzo la Oscar
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mwimbaji mmarekani Andra Day kweyu zulia akipiga posi kwa kamarek
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Muigizaji wa Black Panther na Walking Dead actress Danai Gurira akionyeha michoro kwenye kichwa chake
Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Nyota wa I, Tonya Margot Robbie alikuwa sawa kabisa kwenye zulia

Mada zinazohusiana