Habari za Global Newsbeat 1000 05/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 05/03/2018

Msanii wa Marekani France McDormand na Gary Oldman wameibuka washindi wa tuzo ya msanii bora katika kitengo cha wanaume na wanawake mtawalia, katika hafla ya kuwatuza wasanii wa filamu nchini Marekani, maarufu kama oscars. Usikose kupata habari zaidi kuhusu tuzo hizo kwenye BBCSwahili.com

Mada zinazohusiana