The Silent Child: Filamu iliyoshinda Watu Wote Oscars 2018

The Silent Child: Filamu iliyoshinda Watu Wote Oscars 2018

Filamu ya The Silent Child inaangazia maisha ya msichana wa miaka minne asiyeweza kusikia anayeishi maeneo ya mashambani England ndiyo iliyoshinda tuzo ya Oscar katika kitengo cha Filamu Fupi kuhusu Matukio Halisi.

Filamu hiyo ilikuwa inashindana na filamu ya Watu Wote iliyowashirikisha Wakenya ambayo inahusu shambulio ambapo watu 2 waliuawa ndani ya basi eneo la Mandera mwaka 2015.