Ni kwanini wanafunzi wa vyuo vikuu wanajiunga na makundi ya kigaidi Kenya?
Huwezi kusikiliza tena

Ni kwanini wanafunzi wa vyuo vikuu Kenya wanajiunga na makundi ya kigaidi?

Serikali ya Kenya inasema zaidi ya wanafunzi 58 wa chuo kikuu waliamua kuachana na masomo na kujiunga na makundi ya kigaidi. Wengi walisajiliwa katika makundi ya wapiganaji nchini Somalia, Libya na Syria. Ripoti ya serikali ambayo imefichuka inasema baadhi ya wanafunzi walikamatwa na maafisa wa usalama wakati wakijaribu kukimbia.

Mwenda Njoka, msemaji wa wizara ya usalama wa ndani nchini Kenya ameielezea BBC imekuwaje wanafunzi hawa kuondoka na kujiunga na makundi ya kigaidi bila maafisa wa ujasusi kufahamu?

Mada zinazohusiana