Habari za Global Newsbeat 1000 06/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 06/03/2018

Uuzaji wa vinywaji vya kuongeza nguvu umepigwa marufuku kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka 16 nchini Uingereza. Hii ni baada ya kubainika kwamba vinywaji hivyo vina viwango vikubwa vya sukari.