Habari za Global Newsbeat 1500 06/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 06/03/2018

Kijana mwenye umri wa miaka kumi na minne, Yusuf anamatarajio ya kuwania urais na kuwa rais wa kwanza muislamu nchini Marekani.

Je, ujumbe wako ni gani kwa mtoto huyo?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com