Sierra Leone kumchagua mrithi wa Rais Ernest Bai Koroma
Huwezi kusikiliza tena

Sierra Leone kumchagua mrithi wa Rais Ernest Bai Koroma

Raia zaidi ya milioni tatu Sierra Leone watapiga kura kumchagua rais mpya mnamo Jumatano 7 Machi.

Watakuwa pia wanawachagua wabunge wapya, mameya na madiwani.

Waangalizi wengi wa uchaguzi wamesema uchaguzi wa sasa ndio wenye ushindani mkali zaidi tangu kurejeshwa kwa utawala wa demokrasia huko 1996.

Rais Ernest Bai Koroma anastaafu baada ya kuongoza taifa hilo kwa miaka 10.

Mada zinazohusiana