Habari za Global Newsbeat 1000 07/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 07/03/2018

Ufaransa inapanga kuweka umri unaoruhusiwa kisheria kwa mtu kuwa na uwezo wa kuamua ikiwa anataka kufanya ngono kwa hiari hadi miaka 15.

Je, mtu mwenye umri huo anaweza kufanya uamuzi bora?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com