Habari za Global Newsbeat 1500 07/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 07/03/2018

Msichana mmoja huko India asusia harusi yake kwani wazazi wake walitaka kumuoza kinyume cha matarajio yake.

Je, msichana anastahili kuolewa akiwa na umri gani?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com