Habari za Global Newsbeat 1000 08/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 08/03/2018

Wabunge katika jimbo la Florida nchini Marekani wameidhinisha mswada wa sheria ambao utaongeza umri unaohitajika ili mtu anunue au kumiliki silaha kutoka miaka 18 hadi 21.