Habari za Global Newsbeat 1500 08/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 08/03/2018

Wakati dunia leo inaadhimisha Siku ya wanawake duniani.Treni 300 hazitatoa huduma zao hii leo nchini Ufaransa baada ya wafanyikazi wa treni hizo kufanya mgomo kwa madai ya ubaguzi wa kijinsia na unyanyasaji wa kigono.