Umri gani bora watu kuamua kuhusu tendo la ndoa?
Huwezi kusikiliza tena

Maamuzi ya kufanya tendo la ndoa yafanywe mtu akiwa na umri gani? Ufaransa wanataka miaka 15

Ufaransa inapanga kuweka umri unaoruhusiwa kisheria kwa mtu kuwa na uwezo wa kuamua ikiwa anataka kufanya ngono kwa hiari hadi miaka 15.

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron anaunga mkono mpango huo wa kuweka kiwango cha umri wa kuanza kufanya mapenzi.

Je, mtu mwenye umri huo anaweza kufanya uamuzi bora?

Mada zinazohusiana