Shinikizo kwa vijana kupasi mitihani lawazidishia upweke

Shinikizo kwa vijana kupasi mitihani lawazidishia upweke

Utafiti nchini Uingereza unaonyesha kwamba upweke miongoni mwa vijana wengi unadhihirsha uzito wa shinikizo linalowakabili vijana wanapofeli mitihani.

Katika Afrika mashariki matokeo ya masomo yanasalia kuwa chini dhidi ya matarajio ya mitaala. Na kwa mara nyingi kumeshuhudiwa visa vya vijana kukabiliwana msongo wa mawazo, upweke, na wengine hata kuishia kujitoa uhai. Je huwa ndio mwisho wa maisha yao? Na Wana fursa gani nyengine maishani? Msikilize mtaalamu wa elimu Kenya Dr. John Mugo kutoka shirika la Zizi Afrique .