Habari za Global Newsbeat 1200 09/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1200 12/03/2018

Wanasyansi wanasema kuwa na huruma sio tabia inayochangiwa na malezi yako. La hasha! Kuwa na huruma inachangiwa na jeni ambayo unazaliwa nayo na mda mwingine unairithi kutoka kwa wazazi wako.

Utafiti wao pia unaonyesha ya kwamba, wanawake wana huruma zaidi; ikilinganishwa na wanaume.

Mada zinazohusiana