Habari za Global Newsbeat 1000 13/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 13/03/2018

Msichana mmoja kutoka nchi ya Norway huvuka mpaka wa nchi yake ili kumnunulia mpenzi wake mwanajeshi peremende na vitu vingine vitamu. Nini kitakachokuvutia uvuke mpaka wa nchi yako? Tueleze kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili.