Habari za Global Newsbeat 1000 14/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 14/03/2018

Prof Stephen Hawking, mwanafizikia maarufu duniani, amefariki akiwa na miaka 76. Alikuwa mwandishi wa vitabu kadha maarufu vya sayansi kikiwemo A Brief History of Time.

Je, utamkumbuka mwanafizikia huyo kwa namna gani?

Tujadilane kwenye Facebook BBCSwahili.com