Habari za Global Newsbeat 1500 14/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 14/03/2018

Walimu wa shule za chekechea huwa ni wanawake kwani taaluma hiyo inakisiwa kufanywa bora na wanawake.Lakini wanaume wameonekana kupenda kazi hiyo.

Je, wanaume wanaweza kuwafunza watoto wadogo vyema?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com