Madaktari wanaosafiri kwa boti kuwahudumia wakazi visiwani Lamu Kenya

Madaktari wanaosafiri kwa boti kuwahudumia wakazi visiwani Lamu Kenya

Vijiji vinavyopatika vingi katika Kaunti ya Lamu kwenye bahari ya Hindi mpakani mwa Kenya na Somalia vinakabiliwa na ukosefu wa hospitali pamoja na miundombinu.

Barabara hazipitiki, shule zimefungwa na zaidi ni ukosefu wa huduma muhimu ya afya.

Visiwa sita vinategemea madaktari wa kujitolea maarufu kama Safari Doctors ambao hufunga safari mara moja kwa mwezi kwa kutumia mashua na kutoa huduma ya bure ya afya kwa mamia ya wakazi.

Video: Hassan Lali