Afrika wiki hii kwa picha: 9-15 Machi, 2018

Mkusanyiko wa picha nzuri zaidi kutoka Afrika na kuhusu Waafrika maeneo mbalimbali duniani wiki hii.

Gari hili la kipekee kwenye eneo la kihistoria la Bo Kaap mjini Cape Town. Wilaya hii ni kitovu cha historia ya utamaduni wa Cape Malay mjini humo na ni eneo lenye Msikiti wa kwanza nchini Afrika Kusini ulioanzishwa mwaka 1884 na wafanyakazi wahamiaji, kwa mujibu wa chombo cha habari cha EPA Haki miliki ya picha EPA
Image caption Gari hili la kipekee kwenye eneo la kihistoria la Bo Kaap mjini Cape Town. Wilaya hii ni kitovu cha historia ya utamaduni wa Cape Malay mjini humo na ni eneo leneye msikiti wa kwanza nchini Afrika Kusini ulioanzishwa mwaka 1884 na wafanyakazi wahamiaji, kwa mujibu wa chombo cha habari cha EPA
Lori hili lilisukumwa na mafuriko ya ghafla na kuanguka mtoni eneo la Isinya kilomita 60 kutoka jiji kuu la Nairobi Haki miliki ya picha AFP
Image caption Lori hili lilisukumwa na mafuriko ya ghafla na kuanguka mtoni eneo la Isinya kilomita 60 kutoka jiji kuu la Nairobi
Maji yalifurika hadi kugeuza barabara kuwa mto Haki miliki ya picha AFP
Image caption Maji yalifurika hadi kugeuza barabara kuwa mto
Kenyan school children gather on a verandah outside their classroom at Isinya Secondary School at Isinya some 58kms south-east of Nairobi on March 15, 2018, after classes were stopped due to flash floods in the school compound. Unusually heavy showers have heralded the beginning of Kenya"s long rainy season with flooding widely expected with transportation along the county"s main road to the Kenya-Tanzania border interrupted for hours. Haki miliki ya picha AFP
Image caption Lakini watoto hawa walifanikiwa kupata kivuli
Mvulana huyu katika mji mkuu wa Dakar nchini Senegal, anaonekana kumuogopa ndege aina ya mwari alikuwa anapita njia siku ya Jumatano Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mvulana huyu katika mji mkuu wa Dakar nchini Senegal, anaonekana kumuogopa ndege aina ya mwari alikuwa anapita njia siku ya Jumatano
Jumamosi, watu waliandamana kwenye mitaa ya mji wa Florence nchini Italia kupinga mauaji wa mfanyabiashara mdogo wa raia wa Senegal, Idy Diene. Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Jumamosi, watu waliandamana kwenye mitaa ya mji wa Florence nchini Italia kupinga mauaji wa mfanyabiashara mdogo wa raia wa Senegal, Idy Diene.
Protesters shout slogans during a march, demanding equal inheritance rights for women, in Tunis, Tunisia March 10, 2018. Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Siku huo huo, nchini Tunisia watu waliandamana kutaka haki za mirathi kwa wanawake
Nchini Mali, hawa watu wa kabila la Fulani waliandamana katika jiji kuu la Bamako siku ya Alhamisi kutokana na mgogoro kati ya wafugaji wa Fulani na wakulima katikati mwa Nigeria Haki miliki ya picha AFP
Image caption Nchini Mali, hawa watu wa kabila la Fulani waliandamana katika jiji kuu la Bamako siku ya Alhamisi kutokana na mgogoro kati ya wafugaji wa Fulani na wakulima katikati mwa Nigeria
Salem, a 45-year-old Tunisian shepard, leads his flock in the town of Mdhila, south of Gafsa, one of the main mining sites in central Tunisia. work has resumed after a month-long strike. on March 9, 2018. Haki miliki ya picha AFP
Image caption Siku kabla yake,mfugaji huyu wa kondoo amewapeleka mifugo wake nje wa mji wa Mdhila, moja wapo wa miji kuu yenye migodi ambapo shughuli zimerejea kama kawadi baada ya mgomo wa mwezi mzima
Rebecca Palai anaongea kwa simu na mhudumu akiwa akitoa dawa zake kutoka kwa mashine ya kutoa dawa haraka. Mashine hiyo inawezesha wagonjwa kutoa dawa ambazo wanazitumia mara kwa mara ndani ya dakika tatu, eneo la Alexandera, nchini Afrika Kusini Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Rebecca Palai anaongea kwa simu na mhudumu akiwa akitoa dawa zake kutoka kwa mashine ya kutoa dawa haraka. Mashine hiyo inawezesha wagonjwa kutoa dawa ambazo wanazitumia mara kwa mara ndani ya dakika tatu, eneo la Alexandera, nchini Afrika Kusini
Jumatatu, mchongaji maarufu kutoka Kenya, Edward Njenga (Kulia), aliyezaliwa mwaka 1922, anarekebisha kazi yake ya sanamu akisaidiwa na mjukuu wake mwenye jina sawa na yeye, Edward Njenga, kwenye studio yake mjini Nairobi. Haki miliki ya picha AFP
Image caption Jumatatu, mchongaji maarufu kutoka Kenya, Edward Njenga (Kulia), aliyezaliwa mwaka 1922, anarekebisha kazi yake ya sanamu akisaidiwa na mjukuu wake mwenye jina sawa na yeye, Edward Njenga, kwenye studio yake mjini Nairobi.
Mwanaume akitazama vitabu vinavyouzwa vilivyowekwa kwenye boksi zilizotumika zamani kuhifadhi silaha zilizotumika kweneye vita ya wenyewe kwa wenyewe katika mji wa Misrata nchini Libya Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mwanaume akitazama vitabu vinavyouzwa vilivyowekwa kwenye boksi zilizotumika zamani kuhifadhi silaha zilizotumika kweneye vita ya wenyewe kwa wenyewe katika mji wa Misrata nchini Libya
WaLibya hawa wakionesha nguo zao za kitamaduni wakati wa siku ya kusherekea mavazi ya kitamaduni mji mkuu wa Tripoli, Libya Haki miliki ya picha AFP
Image caption WaLibya hawa wakionesha nguo zao za kitamaduni wakati wa siku ya kusherekea mavazi ya kitamaduni mji mkuu wa Tripoli, Libya

Picha kwa hisani ya AFP, Reuters, EPA na Getty

Mada zinazohusiana