Kijana anayetaka kuwa rais wa kwanza Muislamu Marekani
Kijana anayetaka kuwa rais wa kwanza Muislamu Marekani
Sitapumzika hadi pale tutakapopata rais asiyebagua rangi wala dini Obama alikuwa rais wa kwanza
mweusi na mimi nitakuwa rais wa kwanza Muislamu kwa sababu sote ni raia wa Marekani