Habari za Global Newsbeat 1500 20/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 20/03/2018

Kifaru Mweupe wa mwisho duniani kutoka nyanda za kaskazini, maarufu kama Sudan amefariki, na kuzua hali ya wasi wasi kuwa aina hiyo ya kifaru huenda ikatoweka kabisa duniani.