Habari za Global Newsbeat 1000 21/03/2018

Habari za Global Newsbeat 1000 21/03/2018

Mwelekeo wa #DeleteFacebook umepamba moto kwenye mtandao wa twitter baada ya sakata ya Cambridge Analytica kutumia kurasa milioni hamsini kwa madhumuni ya kisiasa. Je! Utaifutaukurasa wako wa Facebook kwa sababu ya sakata inayoiandama?