Habari za Global Newsbeat 1000 22/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 22/03/2018

Kitabu kilichochapishwa na serikali nchini Tajikistan kinawaambia wanawake nini wanapaswa na nini hawapaswi kuvaa.Kitabu hicho kimachapishwa na Wizara ya Utamaduni, na kimejaa picha za mifano ya viatu na nguo zinazofaa kwa "wanawake kutoka miaka saba hadi sabini".Je, uongozi unapaswa kukuamulia mavazi yako? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook BBC Swahili