Habari za Global Newsbeat 1000 26/03/2018

Habari za Global Newsbeat 1000 26/03/2018

Wakala wa mchezaji wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba Mino Raiola amesema Pogba alinunuliwa kwa bei rahisi sana.

Je, Pogba anatekeleza wajibu wake kwa Manchester United?

Tuwasiliane kwenye BBCNewsSwahili