Habari za Global Newsbeat 1500 26/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 26/03/2018

Mcheza filamu za utupu nchini Marekani, Stormy Daniels, amesema kuwa amepata vitisho na kushinikizwa kutosema lolote kuhusu uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao na rais Donald Trump.