Habari za Global Newsbeat 27/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 27/03/2018

Linda Brown, ambaye alikuwa mtoto aliyehusika na kesi iliyomaliza ubaguzi wa rangi katika shule za umma nchini Marekani, ameaga dunia.Kesi hiyo iliyohusisha Brown dhidi ya bodi ya wakurugenzi wa elimu, iliwasilishwa na babake Linda, baada ya Brown, kunyimwa nafasi ya kujiunga na shule moja ya wazungu katika jimbo la Kansas.