Habari za Global Newsbeat 1500 27/03/2018

Habari za Global Newsbeat 1500 27/03/2018

Umoja wa mataifa umesema watoto nusu milioni huko Yemen wamesitisha masomo yao kwa miaka mitatu iliyopita kutoka na vita ambavyo vimekuwa vikishuhudiwa. Shirika la umoja wa mataifa linashungulikia watoto UNICEF limesema idadi hiyo imeongeza na kufika milioni mbili.