Nuru: Mbwa mwenye kiti cha kutembelea Tanzania
Nuru: Mbwa mwenye kiti cha kutembelea Tanzania
Kutana na Nuru. Mbwa anayetumia kiti cha kutembelea.
Alipooza miguu baada ya kugongwa na gari na sasa ni miongoni ya wanyama waliokolowa kwenye kituo cha Every Living Thing jijini Dar es salaam, Tanzania.
Video: Humphrey Mgonja