Habari za Global Newsbeat 1000 28/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 28/03/2018

Watoto nchini Ufaransa sasa wataanza masomo yao wakiwa na miaka mitatu badala ya miaka sita kama ilivyokuwa hapo awali. Rais Emmanuel Macron alitangaza hayo katika baadhi ya mageuzi aliyoyafanya.

Kwa maoni yako mtoto anastahili kuanza masomo yake akiwa na umri gani?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCNewsSwahili.com