Habari za Global Newsbeat 1500 28/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 28/03/2018

Meneja wa England Gareth Southgate amesema hakufurahishwa na uamuzi wa video wa VAR ambao uliinyima upande wake ushindi dhidi ya Italy katika uwanja wa Wembley.