Habari za Global Newsbeat 1000 29/03/2018

Mwanamume mmoja nchini Uingereza amesemekana kuwa na kesi "mbaya zaidi" duniani ya ugonjwa wa Kisonono. Afya ya Umma Uingereza inasema ni mara ya kwanza maambukizi haya hayajaponywa na dawa za antibiotics.