Habari za Global Newsbeat 1500 29/03/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 29/03/2018

Wanawake wanaofanya kazi kwenye shirika la Facebook nchini Uingereza wanapewa malipo ya ziada ya asilimia 60 chini ya wenzao wakiume. Unadhani wafanyikazi wenzako wa kiume hulipwa zaidi kuliko wale wa kike. Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili.